Home
»
PICHA
» Cheki Vanessa Mdee , Nay wa mitego na Barnaba walivyouza sura kwenye tangazo hili jipya
Baada ya wasanii kama Kala Jeremiah kuuza sura kwenye tangazo la kinywaji cha pepsi , JB kuuza kwenye Mtandao wa Airtel , Joti Kuuza kwenye mtandao wa Tigo na Diamond Platnumz kuuza sura na Vodacom , Sasa ni zamu ya Vanessa Mdee , Nay wa mitego na Barnaba kuuza sura baada ya kama mwezi hivi uliopita kufunga safari na kwenda Bangkok kwa ajili ya kutengeneza Tangazo ambalo kwasasa limeshaanza kuonekana kwenye baadhi ya mitaa ya jiji la Dar-es-salaam.
Post a Comment