Ni msanii mwenye kujituma sana katika sanaa, lakini katika upande wa mapenzi amekua akiyumbayumba sana kuanzia utoto wake mpaka sasa kwani alianzia kwenye ndoa ya utoto na still alivyokuja kwenye sanaa ikawa vile vile pia.
Shilole alitua mikononi mwa Barnaba na pili mwanadada huyo akajiweka kwa Young Dee. Wote hawa walionekana wadogo kwake huku akiendelea kupata usumbufu wa kukaa nao . Sasa mkali huyo ametua kwa kijana mdogo sana anaeitwa Mziwanda. Nae akiwa ni msanii mchanga katika tasnia hii ya Bongo Fleva .Mziwanda akiwa tu na miaka 20 ametua kikamilifu kwa mwanadada huyo mwenye mikongo mingi sana.
Post a Comment