0
Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Love ukipenda muite DIVA THE BOSS....ameibuka na kusema hadharani kuwa yeye ni team wemasepetu yaani ni miongoni mwa mashabiki wa kweli yaan wa kufa na kupoma wa mwanadada Wema Sepetu....Kauli hii aliitoa kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ikiwa ni baada ya wale wanao Mdis (kutoka team nyingine)  kuandika kuwa yeye ni kibaraka wa Wema Sepetu.....na kumponda kuhusu mahusiano yake ya kimapenzi na mpenzi wake wasasa  ambae ni GK  na yule mbunge maarufu hapa nchini....
Soma hapa alichoandika Diva mwenyewe
Kuna Mtu Amenitusi na team zao sijui nini na nini... So umeniita Kibaraka wa @wemasepetu ryt?! very good .. ndio mie kibaraka wake kwani do you have Problem with that ?! come on now .... i love her and yes she is my girl and ndio mie kibaraka wake.. mitusi na kumtusi my baby unapoteza muda coz yes i love my baby hata kama unahisi sio type yangu but humjui .. ushaenda bank kuangalia salio lake?! uyo mbunge si umfuate wewe kama unamtaka? my life my rulz nachagua nani niwe nae nani simtaki.. uyo unamuona hanifai mwenzio ndio sili silali sababu yake.... yaan dats my future husband... afu wema ndio my girl sasa na nitamtetea daily nikiona mnamkosea....afu ka hujui ushajijua wewe ulienitukana kurasa na kuingilia hadi familia yangu uso na adabu unaetafuta followers kinguvu... i am team @wemasepetu for life and speaking of my baby well ..... nitakua nae ndio wangu tena Mpaka kifo kitakapotutenganisha... asa kip on hating kwenye level uliopitiliza uone kama nitakufa for that .. grow the f �� up and respect my pops next time.. Diva this Diva dat hamchoki?! i live my life to the fullest .. stress for who for what?! mniache

Post a Comment

 
Top