0

New Picture (1)

Series hii kali ya Siri ya mtungi imepata shavu kubwa baada ya katangazwa kuanza kuonyeshwa sasa kwenye Dstv, kama ilivyo kwa series nyingi maarufu ambapo wasanii wake walipata umaarufu mkubwa baada ya ya kula shavu kama ili, tukumbuke pia Series kama hii iitwayo Shuga ndiyo series iliyoanza kumpa umaarufu Lupita Nyong’o hadi kuweza kutambulika kimataifa na kuweza kuchukua, deals mbalimbali zilizompelekea kuchukua tuzo adimu sana ya Oscars.
siri-ya-mtungi
Siri ya mtungi nayo itaanza kurushwa hewani kupitia stesheni ya African Magic Swahili ya Dstv, hii itafanya Series hii ya kitanzania kuongeza, uwingi wa mashabiki kote duniani, si tu Tanzania kama ilivyokuwa hapo awali, Itaanza kurushwa kkuanzia mwanzo kabisa wa episode ya kwanza na kuendelea kuonyeshwa kila jumatatu kwenye Africa Magic Swahili Ch 158 & Channel 3 kwenye GOtv.

Post a Comment

 
Top