Kampuni
yakutengeneza vifaa vya michezo kama jezi,viatu,mipira na kadhalika ya
Puma imezindua viatu vya Evo Power kwa ajili ya kombe la dunia 2014
linalofanyika Brazil mwaka huu.
Fahamu
uzinduzi wa viatu hivi umefanywa na wachezaji wawili ambao ni Super
Mario Balotelli wa Italia na Cec Fabregas kutoka Hispania.
Post a Comment