Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo
baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa
Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.
Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu
kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha
kwa kumpa za chembe.
Post a Comment