Umati wa wananchi uliohudhuria mkutano huo
Wazanzibar wanasema Serikali mbili zinawatosha
Wananchi wakishangilia na kuonesha vidole
kuunga mkono serikali mbili za Muungano wakati wa mkutano wa hadhara wa
CCM kwenye viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Mama Fatma Karume akihutubia katika
mkutano huo na kukemea Ukawa wanaotaka kuuvunja Muungano kwa kutaka
Serikali Tatu katika mabadiliko ya Katiba mpya.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana akihutubia wakazi wa Zanzibar na kuwaambia CCM itasimamia haki za
Wazanzibar na kuhakikisha Muungano unadumu na Mapinduzi ya Zanzibar
yanaenziwa .
Mbunge
wa Jimbo la Songea Mjini,Mh. Emmanuel Nchimbi akinukuu sehemu ya
maandishi yaliopo kwenye kitabu cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamad wakati wa Mkutano wa hadhara wa CCM
Mh. Stephen Wassira akiwasalimia wananchi