Jana (April 29) Lulu alipost picha ya Rihanna aliyekava jarida la Lui akiwa amepozi na ameacha maziwa yake wazi huku akiwa na nguo ya ndani pekee.
“Abeeeee😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳@badgalriri #Luicover.” Aliandika Lulu katika post ya picha hiyo.
Mtazazmo wa watu wengi haukuwa positive na walimshambulia kwa maneno makali huku na yeye akiitetea post yake na mara nyingine kutumia maneno makali (F-Words).
Hata hivyo, Lulu aliifuta post hiyo muda mfupi baadae kuepusha mengi..
Post a Comment