0

Waoh to good for them, kama tunavyofahamu kuwa hawa mastaa wametokea mbali na wameweza kukaa kwenye game kwa mda mrefu, kwa wolper kitu kilichompatia umaarufu ilikuwa ni uigizaji na kidoti alishawah kuwa miss tz namba 2, So kutokana na ustaa wao basi wakajikuta mastaa wawili hao wamekuwa karibu sana , kiasi ambacho some of outing zao huwa wanatokaga pamoja, mashabiki huwa wanafurahi sana pindi wanapoona mastaa kama hvyo wakiwa wako pamoja kwa mda mrefu

Post a Comment

 
Top