Hawa ni mgambo wa manispaa ya arusha
wakiwa wamemnyang'anya mfanyabiashara mdogo miwa yake na kuondoka nayo
wakidai anafanya biashara eneo lisilo rasmi.Kweli
hapa tutaendelea na je huyo kijana haki yake ataipata wapi ikiwa
wamechukua miwa yake na kuondoka nayo na hajui wataipeleka wapi au ndo
kugawana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment