0

MASTAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford na Halima Yahaya ‘Davina’ wameshangazwa na mastaa wa kike wanaoficha mimba mbele ya ‘media’.

Staa wa Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’.
Wakizungumza na mwanahabari wetu hivi karibuni baada ya kuulizwa kwa nini baadhi ya mastaa wanaficha ujauzito na baadaye kuumbuka baada ya kujifungua, walisema wao wanashangazwa na kitendo hicho.
Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford.
“Wanaoficha mimba wanakosea sana, mbona mastaa wa nje wanapiga picha matumbo yao na kuweka mitandaoni huku wakifurahia lakini nashangaa hapa Bongo eti wanaficha,” alisema Davina akiungwa mkono na Shamsa.

Post a Comment

 
Top