0

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa anashindwa kufikiria suala zima la ndoa kwani wanaume wengi ni waongo ‘wakware’.Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’.

Maya amesema umefika wakati hata ndoa zenyewe zinakuwa chache kwani uaminifu haupo ndiyo maana amekuwa makini  katika eneo hilo.
“Wanatukosea sana wanaume wenye tamaa za mwili, maana wamekuwa wengi huwezi kujua yupi mkweli, tumuombe sana Mungu atusimamie,” alisema Maya.

Post a Comment

 
Top