MUIGIZAJI na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amewashangaza watu baada ya kuibuka katika sherehe ya wanawake maarufu kama kibao kata cha Vanita Omary.
Muigizaji na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu.
Ishu hiyo ilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa PG,
Kinondoni jijini Dar ambapo mke wa staa huyo alikuwa miongoni mwa
waalikwa lakini cha kushangaza Mtitu aliamua kumuibukia hadi ukumbini.“Mh! Hii kali ona sasa wanawake wameanza kumg’ang’ania bora angemsubiri nje,” alisikika mwanamke mmoja lakini Mtitu hakujali, akamchukua mkewe, wakaondoka kwani sherehe ilikuwa imeshaisha.
Post a Comment