Rihanna ameonekana kufuatilia game nyingi za kikapu baada ya
kumshangilia LeBron James kwenye game ya Nets vs Miami Heat iliyochezwa
Miami, Riri alisafiri tena kwenda kutazama Game 3 ya Western Conference
semifinals kati ya Los Angeles Clippers na Oklahoma City Thunder mjini
L.A. ijumaa.
Post a Comment