Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge wakati alipohitimisha hoja ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Mei 9, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipongezwa na Mkewe Tunu baada ya Bunge kupitisha
bajeti ya Ofisi yake mjini Dodoma Mei 9, 2014. Kushoto ni Mbunge wa
Viti Maalum, Pudenciana Kikwembe na watatu kushoto ni mbunge wa Temeke,
Abas Mtemvu.
Waziri
Mkluu, Mizengo Pinda akipongezwa na katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri
Mkuu, Florens Turuka baada ya bunge kupitisha bajeti ya Ofisi yake
mjini Dodoma Mei 9,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment