Waziri Mkuu Akiwa Live Bungeni Amesema Tuhuma zilizoletwa na Kafulila
Jana kuhusu Utapeli wa Mabilion ya Shilingi Kati ya BOT na Tanesco Ni
Lazima Ufanyiwe uchunguzi wa Kina Kubaini nini Hasa Kiliendelea na kama
Patakuwa na Kasoro Basi Waliohusika Wachukuliwe Hatua Kali ...
Post a Comment