Mwanadada Saraha Hassan a.k.a Tanya
kutoka Kenya ameigiza akiwa utupu kwenye moja kati ya vipande (scenes)
za vichekesho vya mapenzi nchini Kenya, vijulikanavyo kama HOUSE OF
LUNGULA...Vichekesho hivyo kwasasa vimepigwa marufuku kuonyeshwa kwenye
TV za Kenya.
Tanya
Post a Comment