Home
»
KITAIFA
» Unalichukuliaje suala la mtu kuvaa T- shirt yenye maandishi ambayo hayaendani na yeye au yenye maneno makali kama ya huyu mdau??
Mdau unalichukuliaje suala la mtu kuvaa T- shirt yenye maandishi ambayo
hayaendani na yeye au yenye maneno makali hata yakiwa katika lugha si
ngeni? Je mtu akivaa T-shirt ya namna hiyo na hajui maana ya maneno
anastahili lawama?
Post a Comment