Kila msichana hivi sasa anandoto za kuwa kama WemaSepetu hivi sasa, kwa kuweza kujivunia mafanikio ya mpenzi wake Diamond Platnumz, baada ya kuandika historia katika Game hili la muziki wa Bongo Fleva, kwa kuchukua tuzo zote katika kila kitengo alichokuwa anawania, baada ya ishu nzima kuisha, haya ndio maneno ya Wema ya kwanza kuandika , Wema Sepetu aliandika kupitia Account yake ya instagram;
“Yaani mpaka hadi kuzipanga unashindwa unaanzaje kupanga… He managed to snatch dem all…. My champion…. We hav an award for erday…. Monday to Sunday baby…. Yaaaani #tikaTika….. Im a proud girl…. Sooooo proud… Salute to U Champion…
Post a Comment