0
http://photos-d.ak.instagram.com/hphotos-ak-xpf1/10467851_299276043584763_725241058_n.jpg
 Msimu wa pili wa Coke Studio umeshaanza ambapo kwa upande wa Tanzania , Vanessa Mdee ameongezwa huku akiwa na lady jaydee na Diamond Platnumz. Hivi sasa Vanessa Mdee ameshaanza kurekodi session yake katika msimu huo ambapo anafanya muziki unaoitwa “African fusion” na mwanamuziki kutoka Ghana anayeitwa Burna Boy ambaye anahit na single zake kama Abeg Abeg Abeg”, “Party Wit Me”, “Firewood”, “Touch Your Toes”, “Like To Party” na “Trumpet” alioshirikiana na DAvido.
http://photos-d.ak.instagram.com/hphotos-ak-xap1/10513707_306217626221107_1971267690_n.jpg

Post a Comment

 
Top