0

rihanna-sheer-dress-06062014-600x450
Wanasema kuwa, hakuna mtu anayesema vibaya kuhusu Rihana akaachwa aende hivihivi tu, hii ni baada ya kundi la zamani lililoundwa na wanadada watau maarufu kama TLC kuanza kumponda Rihanna, baada ya vazi lake alilonekana nalo hivi karibuni likionyesha sehemu kubwa ya maungo ya mwili wake wazi.
rihanna-cdfa-650x465
Baada ya ishu hiyo kutokea Rihanna alichofanya, ni kuchukua picha yao na wao ya zamani wakiwa wanaonyesha maziwa yao nje, moja ya picha ambazo si watu wengi walikuwa wanazijua, kama wanadada hawa wastaarabu wanapicha chafu kama hizo, ila baada ya muda inasemekana Rihanna aliamua kufuta picha hiyo, aliyoamua kuweka kwenye profile  yake ya twitter na kuwaonyesha fans kuwa wao wanajua kunyosha vidole kwake wakati na wao walishawahi kufanya mabaya zaidi yake,mambo yalikuwa hivi.
rihanna-tlc-twitter

Post a Comment

 
Top