Picha za kwanza tokea Chris Brown atoke Jela zimetoka na
kama wengi mlivyotegemea mtu akitoka jela za bongo anakua amekonda basi
jiulize tena coz jamaa katoka jela huku akiwa ameongezeka unene hadi mtu
unaweza kumuita kibonge. Birthday yake ya kusherekea miaka 25 ilikua
tarehe 5 mwezi wa tano lakini sababu alikua yupo jela wakaamua
kuiunganisha na sherehe ya kukaribishwa nyumbani .
Huku akiwa amevalia nguo za kijeshi ambazo kibongobongo lazima
wakukamate ni wazi Chris alikua ameongezeka uzito lakini akiwa mwenye
afya nzuri. Inaelekea maisha ya jela yalikua mazuri sana kwa
Chris.Kilichobaki kwa chris sasa ni kutoa ring yake puani na kuanza
kuachia ngoma kali.
Chris Brown aliachiwa tarehe 2 mwezi wa 6 baada ya kukaa jela kwa siku 59. Kwenye Sherehe hiyo kulikua na mama yake, girlfriend wake Karrauche Tran, Tyga, T-Pain na bikini models wa kutosha.
hivi ndio alikua kabla hajaenda jela…
Post a Comment