0

Lupita-Nyongo-Genevive-nnajiKatika harakati za kuhakikisha Ziff zinaboresha na kuizidisha ubora tuzo hizo kila mwaka hua kunakuwa na mabadiliko.Mkurugenzi mkuu wa Ziff , Martin Mhando alizindua tuzo hizo za mwaka 2014 na kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni Common Destiny huku wakijipanga kuleta mapinduzi kwa kuboresha zaidi kupita miaka iliyopita kwani tuzo hizi ndio tuzo bora kabisa Afrika Mashariki ambazo hufanyika huko Ngome kongwe Zanzibar.Zanzibar International film festival(ZIFF) ikiwa ndio tuzo ya 17 wamejipanga kumleta Lupita Nyongo na Gevieve Nanji na kua na uwezekano wa kuifanye iwe  ya kipekee kwa kuonesha kitu flani kwa wasanii wetu  na pia fursa nyingi kujitokeza na  pia bila kusahau international exposure….

Post a Comment

 
Top