0


Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo za   MTV, ameongeza sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa Verified.
 
Mkali huyo mwenye Followers Zaidi ya 34,000  ametambuliwa na Twitter kuwa mmiliki pekee/halali wa akaunti yake.
 
“Thank you Twitter.” Diamond ameandika.

Post a Comment

 
Top