0

Ama kweli mapenzi yana nguvu zaidi ya BREKI DAUNI....Mara kadhaa Bwana mdogo  Diamond mara baada ya KUMPIGA CHINI  Wema Wa Sepetu...kwenye INTAVYUU mabalimbali alikuwa anasema Wema SIO, Majanga kibao ya kumfumumania GESTI na Vijamaa....Hadi MAPEDEJEE walikuwa wanakula...LAKINI leo Dogo Wapi...Ushauri wangu kama Mdogo wangu...Kweli mapenzi yana nguvu lakini Dogo UMEPOTEA NJIA na najua hauwezi KUKUBALI leo But Kesho.....


Kwa maoni yangu Mtoto Penny alikuwa ndio mke wa kuoa pia ana HADHI ya kuwa MKE (ulishawahi kuthibitisha hili kuwa anatabia na kila kitu yupo vizuri) kuliko huyo......... Haya ni maoni tu..na hii kwasababu wewe ni STAA (ungebaki Tandale tusinge ku-DISKASI hapa)
CHANZO: Boss Ngassa

Post a Comment

 
Top