0



Leo Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda hata  moja  kati ya hizo....
 
Tuzo ya best collabo imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja....

Tuzo ya mwisho aliyokuwa anawania Diamond kwenye MTV MAMA 2014 ilikuwa ni Best Male Artist lakini imechukuliwa na Davido

Lakini sio mbaya watanzania wamefanya kazi kubwa ya kupiga kura na kutoa support  kwenye mitandao ya kijamii.

Post a Comment

 
Top