Kocha
wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza, Fabio Capello ndiye anaongoza
kwa kulipwa vizuri miongoni mwa makocha wote wa timu za taifa
zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa mwaka.
Post a Comment