![]() |
| Ijeoma Nnaj-Mshindi |
Hili ni shindano lingine tena linalo husisha
wadada wenye maumbo yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria.
Shindano hili lilifanyika usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & Casino. Na mtoto Ijeoma Nnaji akitokea
Kano State ndio alieibuka mshindi....ambae amejinyakulia brand new car....Hii inabidi ije na HAPA BONGO!!!




Post a Comment