Nyimbo ya mdogomdogo kwasasa ndio habari ya mjini tokea Diamond Platnumz alipoitoa jana imekua gumzo mtaani. na kitu gani kitaonesha level ya kimataifa aliyopo Diamond kama si hii ya kufanya professional photography kwa ajili ya single artwork.
Cheki hii picha hapa Diamond akimbeba huyu mtasha…
Post a Comment