Huyu ni Miss Tanzania namba tatu 2003/04, Nargis Mohamed, kwa sasa ni
mfanyakazi katika BANK flani na ni mama wa mtoto mmoja....Unakumbuka
enzi za OSHENI SANDO....na Video ya ZALI LA MENTALI....ilikuwa ni
shidaaah... Kabla ya kuigia kwenye BONGO MUVI....Lakini hadi sasa MUTOTO
bado yupo SUPA....Jionee Picha zake za HIVI SASA hapa chini
Home
»
PICHA
» Picha za NAGRIS MOHAMED miss Tz namba 3 2003/2004....ULAAAA...bado msupa ile ile, ajafulia ajachuja!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment