0
MTV Base imewataja wasanii wengine ambao wana fungu orodha ya wasanii watakao panda jukwaani kutumbuiza katika tuzo za MTV  Africa Music Awardas (MAMA) 2014
Kundi la Sauti sol kutoka kenya  Sarkodie, The Arrows,Khuli Chana na Dr Sid
wataungana na mastaaa wengine nyota wa Afrika pamoja na wa kimataifa kutumbuiza katika tuzo hizo huko Durban Afrika Kusini.
wasanii wengine ambao tayari walikuwa wameshatajwa kutumbuiza siku iyo ni pamoja naFrench Montana, Miguel, Trey Songz, Uhuru, Mafikizolo, Oskido, Professor, Tiwa Savage,Flavour, Diamond, Davido, Wizkid, Phiyno pamoja na Yuri da Cunha.
Endelea kuwa pigia kura watanzania Diamond Platnumz na mwanamitindo Anisa MPungwe ili waweze kushinda na kuleta tuzo ntumbani

Tuzo hizo zit onyeshwa live kutoka ICC, Durban, Afrika Kusini Jumamosi hii (june 7)

Post a Comment

 
Top