Baada ya taarifa za ugomvi wa mwanadada Wema Sepetu na
Kajala kusumbua vichwa vya habari miezi iliyopita na baadae taarifa
nyingine kuja kwamba wakali hao wamepatana kwenye msiba wa Adam
Kuambiana , sasa wema sepetu ameamua kufunguka kuhusiana na hilo,alisema
haya ”
If y’all must
know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments…. Na kama nimekosa
kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi mno na nashindwa soma
zote…. Ni kwa muda mrefu sana mnaniona nakaa tu kimya na sisemi
chochote khs my friendship life… But mimi binafsi na muhusika ndo
tunajua… saa nyingine mnaongea hadi nakereka but nakaa kimya… Nilitaka
tu kusema mimi sina kinyongo na mtu… na kama kuisha mbona yalishaisha…Au
ndo mlikuwa mnataka kuona bega kwa bega…? In my life siwekagi vinyongo…
nyi wenyewe mnajua… So jus so u want to know hayo yalishapita na maisha
yanaendelea… ni hayo tu…”
Kwasasa wema amekua na urafiki wa karibu sana na muigizaji mwenzake
aunty ezekiel na kila saa wawili hao wameonekana wakiwa pamoja…
Post a Comment