Neema Recruitment Agency ni wakala wa ajira na nafasi za kazi. Kwa niaba ya mteja wake, kampuni inatangaza nafasi za kazi za saloon ( SALOON WORKERS ) kwa waombaji wenye sifa zifuatazo :
1. Awe wa jinsia ya kike
2. Elimu kidato cha nne na kuendelea
3. Awe anaishi Dar Es salaam.
4. Walio na uzoefu na kazi za saluni watapewa kipaumbele.
IDADI YA NAFASI : Nafasi Ishirini( 20 )
JINSI YA KUTUMA MAOMBI : Andika maombi yako kwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency kupitia barua pepe yetu ambayo ni : neemarecruitmentagency@gmail.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
MWISHO WA KUPOKEA
MAOMBI NI TAREHE 31 JULAI 2014.
Post a Comment