0

Watu 16 wamepoteza maisha huku 75 wakijeruhiwa baada ya basi la AM likitoka Mwanza-Mpanda kugongana na basi lingine la Sabena linalofanya safari zake Mbeya - Tabora katika eneo la Mlogoro, Sikonge mkoani Tabora jana.
Endelea kutufuatilia kwa MKASA NA PICHA ZA MATUKIO YA AJALI

Post a Comment

 
Top