Kuna ile stori ya Watoto wawili mmoja miaka 10 na mwingine 7 wote kutoka wilayani Hanang mkoani Manyara ambao walikua wanatuhumiwa kumuua mwenzao wa miaka mitatu kwa kumchapa na kisha kumnyonga, ilikua taarifa kubwa sana ndani ya wiki nne zilizopita.
Habari Mpya Kuhusu wale watoto wawili waliomuua kwa kumnyonga mwenzao wa miaka mitatu Manyara
Kuna ile stori ya Watoto wawili mmoja miaka 10 na mwingine 7 wote kutoka wilayani Hanang mkoani Manyara ambao walikua wanatuhumiwa kumuua mwenzao wa miaka mitatu kwa kumchapa na kisha kumnyonga, ilikua taarifa kubwa sana ndani ya wiki nne zilizopita.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.