0

Marumbano mengi sana yanahusisha simu za mikononi,,,watu


 wanatumia simu kutongozana, hadi kukutana na kufanikisha lengo lao, kwa njia ya sms, na hata kwa kupiga…. Ndio maana unakuta watu wengi simu zao zinakuwa na password,… ukiuliza wanajitetea kwamba anataka details zake ziwe sectret… sasa secret hiyo iwe hadi kwa mpenzi wako?? Kama nyie ni wamoja, unaficha nini kwenye simu yako????
We kwa mtazamo wako Unaonaje??????????

Post a Comment

 
Top