0
Pombe usipoweza kuicontrol basi matokeo yake ita Control wewe ! Huyu Jamaa Alinaswa 
na Kamera za zetu Katika Baa Moja Maarufu Mitaa ya Sinza , Inasemekana Alikuwa na Wenzake wanakunywa Baada ya Kupata Bia Mbili tu zikampanda Kichwani na Kuanza kuweka Mapozi ya Ajabu Ajabu na Mwisho Kuvua nguo na kuweka Mapozi ya Kimiss Watu Wampige Picha, Wenzake kuona Hivyo Wakamkimbia na Kumwacha Mchizi akiabika Kiaina.

Post a Comment

 
Top