Mwimbaji Mariah Carey ametangaza kuanza rasmi ziara yake ya kuizunguka dunia kwa lengo la kuitangaza album yake.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Mariah amesema wakati wa ziara hiyo ataperform nyimbo zake mpya na baadhi ya nyimbo zilizo kwenye LP yake mpya.
“I want to experience the spontaneity and emotion that I put into this album on stage with my fans.” Amesema Mariah na kuongeza kuwa watu wasishangae akiperform nyimbo mpya kabisa alizoandika usiku mmoja kabla ya kupiga show.
“Siwezi kusimama kuandika nyimbo kwa hiyo msiwe surprised kama mkisikia nyimbo mpya ambazo nimeandika usiku mmoja kabla ya kufanya show kwenye jiji lenu.”
Hii ni ratiba ya awali, ratiba ya Marekani na sehemu nyingine za Ulaya itatoka wiki ijayo:
Oct. 4 - Tokyo, Japan - Makuhari Messe Arena
Oct. 6 - Yokohama, Japan - Yokohama Arena
Oct. 8 - Seoul, South Korea - Olympic Gymnasium
Oct. 10 - Beijing, China - Workers' Stadium
Oct. 12 - Chengdu, Sichuan, China - Chengdu Stadium
Oct. 15 - Chongqing, China - Olympic Center
Oct. 19 - Shanghai, China - Hongkou Stadium
Oct. 22 - Kuala Lumpur, Malaysia - Stadium Merdeka
Oct. 24 - Singapore - Singapore Indoor Stadium
Oct. 26 - Taipei, Taiwan - Taipei Nangang Exhibition Center
Oct. 28 - Manila, Philippines - Mall of Asia Arena
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.