0
Aina ya nguo ya ndani unayovaa unapokwenda kukutana na mpenzi wako inaweza kuchangia kiasi kikubwa kwenye tendo zima, Kama wewe ni mke hakikisha unapokuwa na mume wako unavaa nguo za ndani zenye
mvuto zinazoweza kumfanya akusindikize na macho, na pia kuamsha hisia. kama wewe ni mume vaa boxer nyeupe safi yenye maua au mistari yenye mvuto, Unaweza uamsha hisia za mwenza wako.

Post a Comment

 
Top