Hot Love, Gossips, Online Jobs and Entertainment
yanauma ila tujali utu kuliko kufanya
unyama kama ulivyomkuta mwanadada Paulina wa pande za Nigeria aka Naija, ambaye alimwagiwa
acid na mpenzi wake Mr. Ogba kutokana na wivu wa mapenzi, sasa jamaa
alibahatika kukamatwa na kufungwa jela miaka kumi tangu mwaka
2010...Swali ni Je, miaka kumi na kumuaribu mwenzio namna hii vinaendana?!