Siku kadhaa nyuma Amberose aliripotiwa kumfuma Wiz ambaye ni mume wake akichepuka, ambapo uamuzi wa Amberose ilikua ni kuachana na mumewe huyo. Lakini Wiz alidai alifanya makusudi ili afumaniwe na mkewe huyo..Katika kurejesha moyo wa mumewe inakisiwa Amberose anatumia mitandao ya kijamii kupost picha za utupu na za utata ili kumshawishi mume wake warudiane.. Miongoni mwa picha hizo ni...
Amberose mke wa Wiz na Mama wa mtoto mmoja
Amberose akiwa na modo mmoja toka Marekani
