Hivi karibuni Mabeto alisema bado anajiona mtoto hivyo kuliko kukimbilia maisha ya ndoa bora ale kwanza ujana.
Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’.
“Suala la kuolewa hapa kwangu hata silifikirii kabisa, mimi bado binti mdogo sana nitawezaje kukimbilia ndoa, hiyo ni mipango ya Mungu kila kitu kinaenda kwa wakati, muda utakapowadia nitaolewa,” alisema Hamisa.
Post a Comment