0
Siku ya 1 atakuja na chupi 2, moja anaifuaanaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka... 
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhianaianika nyuma ya mlango anaondoka...

Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya mezaanakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni zangu mezani  


Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na flat shoes kwenda chuo. Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe alipoacha,kesi zinaanza...
Hao ndo Wanawake wa  kileo,akija na begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia taratibu.. Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa
ina perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa hereni na 'Foundation'... My Brother,huna haja ya kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO....
Kifuatacho utaambiwa,''Honey I miss my days',Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed Calls, Siku hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu ju imekula kwako, inawindwa ndoa..

Post a Comment

 
Top