Home
»
WANAWAKE
» Kwanini Wanawake wengi wanapenda uume mkubwa!!!!
Mimi ni mwanaume ambaye natambua kuwa sina uumem kubwa lakini kilampenzi ninayekutana naye anashangaa kuona kuwa ninaweza kumtosheleza tofauti na alivyotarajiaMara
nyingi ninapoongea na wanawake nimekuwa ninapata maelezo kuwa
wangependa kupata mwanaume mwenye UUME mkubwa kuliko mwenye UUME
Naomba
wanablog hii Kido Tz, hasa wanawake mnielimishe, kwa nini wanawake
wengi wanapenda wapenzi wenye UUME mkubwa kuliko wale wenye UUME mdogo?Na
wale wanaume wenye UUME mdogo wanatakiwa wafanye nini ili kuwatosheleza
vizuri wapenzi wao? Mimi naona wanawake wengi wanakosa wanaume wabunifu
kunako sita kwa sita.
Post a Comment