HAMNAZO? MISS Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa
Miss Tanzania 2011, Husna Maulid ameonesha kuwa ni sikio la kufa baada
ya kupiga picha za utupu kwa mara nyingine.
MISS Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid.
Picha hizo zilizotapakaa kwenye mitandao
mbalimbali zimewashangaza watu ambapo Husna anaonekana akiwa kama
alivyozaliwa huku akiwa katika mapozi tofauti hali inayoonesha kwamba
alikuwa akipigwa picha hizo na mpenzi wake.
Husna Maulid akiwa kwenye pozi lenye utauta!.
Kwa mujibu wa mdau ambaye aliziweka picha hizo kwenye mtandao wa
Instagram, mwanadada huyo alipigwa picha hizo na mpenzi wake ambaye
hakumtaja jina.Alisema mpenzi wake huyo alimuomba ampige picha ili awe
anaziangalia kila wakati kwani anampenda sana ambapo Husna alikubali
kupigwa picha hizo lakini matokeo yake zikazagaa mitandaoni.
Watu mbalimbali waonesha kushangazwa na picha hizo huku wengine wakimkashfu kwa maneno machafu.
Baada ya kuzinyaka picha hizo, Amani lilimtafuta Husna na kumuuliza
ilikuwaje mpaka akakubali kupiga picha hizo za ajabu, alisikiliza kwa
makini kisha akakata simu na alipotafutwa tena simu yake ilikuwa ikiita
tu bila kupokelewa.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.