Jarida la Forbes lilitoa listi ya matajiri hao ambapo Aliko Dangote mfanyabiashara kutoka Nigeria anaongoza kwenye listi hiyo. Wanawake hao wawili ni Isabel dos Santos ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos amewekeza kwenye miradi mbalimbali ikiwemo kampuni za mitandao ya simu za mkononi ni mwanamke tajiri zaidi ambaye ameingia kwenye listi hiyo, pamoja na Folorunsho Alakija ambaye ni mfanyabiashara na mwanamitindo wa Nigeria.
Wanawake pekee waliopo kwenye listi ya watu Matajiri zaidi Afrika.
Jarida la Forbes lilitoa listi ya matajiri hao ambapo Aliko Dangote mfanyabiashara kutoka Nigeria anaongoza kwenye listi hiyo. Wanawake hao wawili ni Isabel dos Santos ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos amewekeza kwenye miradi mbalimbali ikiwemo kampuni za mitandao ya simu za mkononi ni mwanamke tajiri zaidi ambaye ameingia kwenye listi hiyo, pamoja na Folorunsho Alakija ambaye ni mfanyabiashara na mwanamitindo wa Nigeria.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.