0
Mwanamke mmoja huko Marekani amefanyiwa Operesheni na kutolewa kipande cha Ubongo wake baada ya kugundua tatizo lake la kujisikia vibaya kila anaposikia wimbo wowote ulioimba na Ne-yo.

 
Neyo


Mtandao wa  Daily Mail umeripoti kuwa mwanamke huyo anayeitwa Zoe Fennessy amekua akialazimika kutembea na earphone kila anapotoka nyumbani ili kuepuka kusikia wimbo wowote wa Ne-yo, pia ripoti hiyo inasema Operesheni hiyo imepunguza tatizo hilo japo halijaisha kabisa. Madktari wamesema ugonjwa 

                                                                                                                                           Zoe Fennessy          
huo unaitwa "musicogenic epilepsy" na  inaweza ikawa niTone ya Ne-yo inayosababisha tatizo hilo japo mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 26 amekanusha kuwa wasanii wengine kama Usher ambao wanaimba kama Ne-yo hwaamdhuru kivyovyote.

Post a Comment

 
Top