0
MSANII wa Filamu na Muziki Bongo, Isabela Mpanda
Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, 
 amemvaa mama wa msanii mwenzake, Wema Sepetu, Miriam Sepetu na kumtaka aache kuingilia mapenzi ya mwanaye kwani mapenzi hayaingiliwi. Isabela alisema siku zote unaopenda ni moyo siyo mwili kwa hiyo mama Wema kama anataka mwanaye aachane kabisa na Diamond basi amtoe moyo uliompa nafasi mwanaume huyo. 
“Mama Wema kama mzazi anatakiwa akae kimya, amuache mwanaye moyo wake ufanye utakavyo maana kutoa maneno  na kufanya sherehe kwa sababu ya mwanaye ameachana na 
Mama mzazi wa msanii maarufu bongo, Wema Sepetu.
Diamond siyo sawa, akumbuke kwamba Diamond naye ana wazazi, hivi mama yake anajisikiaje jamani?” alihoji Isabela.

Post a Comment

 
Top