0
Kupitia mtandao wa kijamii wa INSTAGRAM Shilole ameandika haya kuhusu Baby wake "👌👌👌👌 ndo kuwen na haya!! Lol! Wengine nawajua kabisa tena Wanathubutu kusema oooh yule nuh mm alikuwa bwana angu khaaa! Sasa hata kama alikuwa Mbona hukusema hiyo Zaman?? NOW anaonekana machoni mwa watu Mnaanza shobo!! Ntatumbua mtu macho mamaeeeee!!"
 
Huu ndio muonekano wa Picha yenye maneno ya Nuh mziwanda hapo chini



Post a Comment

 
Top