Wanawake
na mademu ni vitu viwili tofauti kabisa, Wanawake wanaona dunia tofauti
kabisa, na wanaichukulia tofauti ukilinganisha na mademu. Kuna mademu
kibao tena wa kumwaga ila kuna uhaba mkubwa wa wanawake na hili halina
uhusiano wowote wa umri wao bali ni jinsi wanaivyoichukulia dunia.
Mademu
au wasichana huvaa nguo kuonyesha maungo yao wakiamini huwafanya wawe
warembo zaidi wakati wanawake huvaa nguo yoyote ile wakiamini urembo upo
pale pale.
Wanawake
wanaelewa kuvaa nguo za kimitego sio njia pekee ya kuonekana
mzuri.Mwanamke haitaji kuacha mambo yote hadharani ili watu wamuone kua n
mzuri.Wanawake wanajiamini kutokana na walivyo na hawajali kitu
wanachovaa sababu watazidi kua wazuri tu.
Mademu hutegemea wanaume wao wajue wanavyojisikia bila kuwaambia kitu wakati wanawake huamini maogezi kati ya wapenzi ni muhimu.
nyie
mademu , wanaume hatuwezi kujua kitu mnachofikiria na tunatamani
tungejua kwani ingefanya mambo kua marahisi sana lakini
hatuwezi.wasichana wanaamini kua mwanaume inapaswa ajue kila kitu kuhusu
wao kiasi cha kujua wanafikiri nii , wanahisi nini au wanamaanisha
nini. Hii ndio inasababisha wasichana waanze fujo na majungu ambapo
ingekua kwa mwanamke angejua kinachomsumbua na kuelezeaa.
Mademu hutegemea kulipiwa bili zao wakati wanawake wengi hujitegemea kwenye mambo mengi.
Wasichana
au medemu hupenda kutuzwa kama watoto labda hii pia inaweza kuchangiwa
na malezi.Kuna sababu sijui ni ipi inayowafanya mademu wasipende kutoa
pesa kwenye pochi zao. Mwanamke hupenda kumkumbusha mpenzi wake kwamba
amempenda sababu anamheshimu na kumjali na sio kwasababu ya pesa zake.
Mademu hunywa na kulewa na wanawake hunywa kufurahia au ku-relax
Je unamjua mwanamke anayekunywa hadi kuanza kuyumbayumba ? of course , haumjui. Mwanamke hawezi kufanya hivyo. Mademu ndio wanatabia hizo na hii husababisha kufanya maamuzi yasiyo sahihi.
Mademu hunywa na kulewa na wanawake hunywa kufurahia au ku-relax
Je unamjua mwanamke anayekunywa hadi kuanza kuyumbayumba ? of course , haumjui. Mwanamke hawezi kufanya hivyo. Mademu ndio wanatabia hizo na hii husababisha kufanya maamuzi yasiyo sahihi.
Mademu hawakawii ku-update Facebook status to “In a relationship” – wakati wanawake hata huo muda wa Facebook hawana.
Mademu wanaangalia Vipindi vya kijinga Wanawake wanasoma
kwa kawaida vipindi vya TV au videos kwenye internet ni nzuri sema sehemu kubwa imejaa vitu vya kijinga. Wanawake wana vipindi vyao pia ambapo mara nyingine hupenda kuangalia wakiwa wanasoma gazeti au kitabu. Kama wewe una demu ukimwekea taarifa ya habari anakimbia basi jiulize mara mbili mbili..
Mademu wanaongea pumba huku wanawake wakiwa na ufahamu wa mambo
Hii ni moja ya kitu kikubwa kinachomtenganisha msichana na mwanamke.Mademu wengi wanazingua inapokuja swala la kuzungumzia vitu vya msingi vinavyoizunguka jamii.Mademu hua hawana vitu vya kielimu ambavyo wanaweza kufanya na ku-enjoy na mtazamo wao kawaida sio kutoka kwao bali kwa watu wengine ambapo wamesikia na kuufanya wa kwao.
demu anataka kuendeshwa bali mwanamke haitaji mtu yoyote bali yeye mwenyewe
Hakuna kitu kinachovutia kwenye mapenzi kama mwanamke anayeweza kujiendesha mwenyewe.Wanawake hupata kitu wanachotaka na hawaitaji mtu yoyote kuwaongoza.
Post a Comment